Interview za wanafunzi
Uongozi wa shule wa Precious unawatangazia wazazi wote kutakuwa na Interview za wanafunzi wanaotaka kujiunga na shule yetu. Interview itafanyika tarehe 17/12/2021 Interview itaanza kufanyika kuanzia saa mbili asubuhi kwa madarasa ya awali mpaka darasa la saba Wote mnakaribishwa