Uongozi wa shule wa Precious unawatangazia wazazi wote kutakuwa na Interview za wanafunzi wanaotaka kujiunga na shule yetu.
Interview itafanyika tarehe 17/12/2021
Interview itaanza kufanyika kuanzia saa mbili asubuhi kwa madarasa ya awali mpaka darasa la saba
Wote mnakaribishwa