Precious school inawatangazia wazazi na walezi wote nafasi za kujiunga na Precious kuanzia nursery mpaka darasa la saba, pia tunanafasi za kujiunga na kidato cha kwanza
Interviews zinafanyika kila siku kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi
Wote mnakaribishwa!