9 April TAARIFA KWA UMMA Uncategorized Author admin Leave a comment Uongozi wa PRECIOUS SCHOOLS unapenda kuwafahamisha wazazi, walezi na wanajumuiya ya PRECIOUS kuwa shule imefungwa kuanzia tarehe 08/04/2022 na itafunguliwa tarehe 19/04/2022. Tunawatakia likizo njema na heri ya pasaka.