TAARIFA KWA WAZAZI NA WADAU WA PRECIOUS.
Uongozi wa shule ya Precious unapenda kuwataarifu wazazi, walezi na wadau wetu mambo yafuatayo;
- Tumefunga shule kuanzia Tar 29/07/2022 na itafunguliwa tar 05/09/2022.
- Nafasi za kuhamia zipo kwa madarasa yote isipokuwa darasa la nne na la saba.
NB: Kwa upande wa sekondari nafasi za kuhamia zipo pia fomu za kujiunga na kidato cha kwanza pia zipo.
- Wakati wa Likizo usaili (interview) itakuwa ikifanyika kila siku isipokuwa siku ya J.Pili. Muda Ni kuanzia saa mbili kamili (2:00) Asubuhi hadi saa saba (7:00) mchana.
Jiandae kuhesabiwa tar 23/08/2022.
Asanteni.