USAILI WA KUJIUNGA NA SHULE
Tunawatangazia wazazi na walezi wote kuwa kutakuwa na usaili kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na shule za Precious kwa mwaka wa MASOMO 2025 kuanzia Darasa la Awali, Darasa la Kwanza hadi Darasa la Saba, na pia Kidato cha Kwanza hadi Kidato cha Nne.
Usaili utafanyika tarehe 16 November 2024 shuleni Precious.
Wazazi na walezi wote wanakaribishwa kwani nafasi ni chache
Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia nambari ya simu 0786121813 au fika shuleni
Karibuni sana!