TAARIFA YA MATOKEO YA DARASA LA NNE – 2024
Hongera kwa wanafunzi wetu kwa kufanya vizuri kwenye mtihani wa taifa wa 2024.
Chini ni matokeo ya jumla:
Idadi ya Wanafunzi | Waliopata A | Waliopata B | Waliopata C |
---|---|---|---|
183 | 156 | 26 | 1 |
https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/sfna/SFNA2024/ps0204110.htmTunawakaribisha sana
Precious kwa elimu bora ya mwanao.
Asante!