π’ TANGAZO LA USAJILI
π Precious Secondary School inakaribisha wanafunzi kwa usajili wa mwaka wa masomo 2026!
β
Elimu bora yenye nidhamu na malezi mazuri
β
Walimu wenye uzoefu na weledi
β
Mazingira salama ya kujifunzia
β
Fursa za masomo na michezo
π Usajili upo wazi sasa! Usikose nafasi ya kumpa mwanao elimu bora yenye kufungua njia ya mafanikio.
π Mahali: Goba, Lastanza β Dar es Salaam
π Mawasiliano:
+255 683 479 779
+255 712 721 983
π‘ Precious Secondary School β Education is Power!
