📢 USAILI 2026 – PRECIOUS P/R SCHOOL
Wazazi na walezi mnakaribishwa kwenye usaili wa kujiunga na Precious Schools, mahali ambapo mtoto hupata elimu bora, mazingira rafiki na malezi yenye kuenzi maadili.
đź“… Tarehe: 22/11/2025
🕒 Muda: Saa 2:00 Asubuhi – 8:00 Mchana
📍 Mahali: Precious Schools, Goba Lastanza – Dar es Salaam
Shule inawapokea wanafunzi wa Awali hadi Darasa la Saba.
PRECIOUS SCHOOLS;
- Mazingira ya kujifunzia yaliyo salama na ya kuvutia
- Walimu weledi wenye mbinu za kisasa za ufundishaji
- Shule ya kutwa yenye huduma bora
- Usafiri wa shule ulio salama na wa uhakika
⚠️ Nafasi ni chache! Hakikisha mtoto wako anapata nafasi mapema.
📞 Mawasiliano:
0768 727 886 | 0786 121 813 | 0745 954 011
PRECIOUS SCHOOLS – “Education is Power”
