TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa PRECIOUS SCHOOLS unapenda kuwafahamisha wazazi, walezi na wanajumuiya ya PRECIOUS kuwa shule imefungwa kuanzia tarehe 08/04/2022 na itafunguliwa tarehe 19/04/2022. Tunawatakia likizo njema na heri ya pasaka.
INTERVIEW ZA WANAFUNZI KUJIUNGA NA PRECIOUS
Precious school inawatangazia wazazi na walezi wote nafasi za kujiunga na Precious kuanzia nursery mpaka darasa la saba, pia tunanafasi za kujiunga na kidato cha kwanza Interviews zinafanyika kila siku kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi Wote mnakaribishwa!
