USAILI WA WANAFUNZI MWAKA 2026
📢 USAILI 2026 – PRECIOUS P/R SCHOOL Wazazi na walezi mnakaribishwa kwenye usaili wa kujiunga na Precious Schools, mahali ambapo mtoto hupata elimu bora, mazingira rafiki na malezi yenye kuenzi maadili. đź“… Tarehe: 22/11/2025đź•’ Muda: Saa 2:00 Asubuhi – 8:00 Mchana📍 Mahali: Precious Schools, Goba Lastanza – Dar es Salaam Shule inawapokea wanafunzi wa Awali […]








