TAARIFA
Habari za asubuhi wazazi na walezi, PRECIOUS DAY AND BOARDING SCHOOLS inapenda kuwatangazia kuwa awamu ya kwanza ya ujenzi wa mabweni ya kisasa kwaajili ya wanafunzi wa kike kuanzia darasa la nne mpaka kidato cha pili UMEKAMILIKA
Kwa wale wanafunzi wa kike walio kuwa wanahitaji huduma ya hii, itaanza rasmi tarehe 5/03/2023. Mzazi unayehitaji fika ofisini kupata mahitaji ya bweni
Wanafunzi watapokelewa tarehe 5/03/2023, Muda ni kuanzia saa 8:00 mchana mpaka saa 10:00 jioni
#preciouspower
